Posts

Showing posts from September, 2020

Faida kuu nne za matunda mwilini

Matunda huongeza vitu vifuatavyo katika mwili wa mtumiaji.. huongeza vitu vifuatavyo.                                          1.matunda huongeza nguvu za kiume     hasa matikiti maji huongeza kwa wingi sana  2.matunda huongeza damu mwilini hasa kwa wale wanaopungukiwa na damu mwilini kula matunda mbali mbali                  3 .matunda hujenga mwili kuwa na afya njema ya ubongo pamoja na misuliimara.. tumia matunda mchanganyiko.                        4. matunda huongeza uchangamfu pamoja na ubunifu katika kufikiri hasa kwa watoto wadogo wanaosoma watumie matunda wanayohitaji sanaaa ushauri watumie Sana mchanganyiko wa matunda mbali mbali..                kwa mahitaji ya matunda piga Simu namba 06254657074  sms ruhusa...